Friday, July 23, 2021

Download Xhatoh - DOMO NZEGE 01 | True story mp3



Xhatoh - DOMO NZEGE 01 | True story (Music lyrics video) Ni story ya kweli kaisa ambayo ishawai nitokea nikiwa katika sherehe moja uko kinondoni nikiwa na rafiki zangu walinicheka sana kisa nilishindwa kuongea mwanamke😅😅.


 










Written by Xhatoh
Performed by Xhatoh mixed by Xhatoh Beat produced by wavey lyrics video by MISHEBOY DOMO NZEGE 01 lyrics intro Yeah Xhatoh DOMO NZEGE part 01. Verse. siku moja kwenye party la Mtaani ni l ipul l up na wanangu i l i tupate mivinyo. i le tumekaa punde si punde l ikapita kundi la Mashori mbele yetu si ndo wakakaa bwana. Mar a ghafla nikaona SHORI namba 8 Mtoto Mzuri sur a mweupe apo apo nikapagawa nikaogopa nikadata hi i nini Sasa inanitokea. Kama nusu Saa macho ivi macho nmekodoa. Wahuni wakaniul iza Xhatoh uko Sawa? K wa mbwembwe zote Nikawambia Oya niko Sawa. kumbe siko Sawa. moyo Umepagawa . mwil i upo apa moyo Umeota mbawa. kisa tu kidawa mambo hayapo Sawa. inaonekana ni Mzuri Hata Asubui asiponawa. ikitokea kapika Ntakula bi la kunawa .maana nishapagawa. Haya Basi Pati ikaanza pale nikapiga tungi na wanangu tukapiga story nyingi . nyingine za uongo afu Hata hatupingi . akati Maendeleo na pombe nikajiul iza nimfwate (mh mh) nikaul iza moyo Ukasema kwa kishindo nikanyanyuka l iwalo na Liwe .lolote Li le. chochote ki le atachotaka Kiwe. ntafanikisha cha msingi Niwe nae. Basi nikamfwate pale SHORI mambo akajibu poa. wakati Rafiki zangu na Rafiki zake wote macho wamekodoa. wote wakitamani Waone anani joboa. sio poa jasho Inatoka Sjui atanichomolea(atanikata) huku naogopa kuambiwa toka. kisa uoga basi Mimi nikaropoka naku.............. naku............... nikasema nakuja mzee.... Bi la uoga nikaropoka nakuja. WANANGU hawani ita i la Mimi nikaitika Nakuja. mbele ya manzi(shori) mwi l i Umekufa Ganzi . Waziwazi kwel i MI Kiazi . narudi kwenye Gang. (washkaji) amkeni amkeni kurudi Bi la namba Mkononi ana Chupa tupu ya Hainkein Then tumchekeni huyu Jameni . mda uo MI kichwa chini . pombe Zimeisha kichwani kisa aibu imebaki aki l i yangu Mimi . ivi Mimi pale ni l ifata nini? Zaidi ya nusu saa mbele ya mtoto si jasema chochote siamin. nimefanya nini? niende tena nini? DIABLO MADE HIT All rights received ©2020. Xhatoh is under DIABLO ENT record label.. spotify through https://open.spotify.com/playlist/00N... Soundcloud through https://soundcloud.com/xhatoh-cuctus/... Audiomack through https://audiomack.com/xhatoh/song/xha...

1 comment:

DOWNLOAD KANYE WEST : DONDA FULL ALBUM .ZIP

FREE DOWNLOAD KANYE WEST : DONDA FULL ALBUM .ZIP